Wednesday, May 30, 2012

Sallalah...! huruma huna...


Hivi ndio jeshi la Polisi linavyokandamiza raia wanaodai haki zao za msingi. Watu wamechoka dhiki, wakidai     haki haya ndio yanayowakuta katika Visiwa vya Zanzibar. Uamsho ndio vidume na Muungano hautakiwi Zanzibar.

No comments:

Post a Comment