Matatizo ya ukosefu wa nishati ya umeme yanaweza kutatuliwa Zanzibar kwa kuekeza katika teknolojia ya jua na upepo ambao kwa vile vyetu ni visiwa vilivyo ukanda wa jua si haba tumebarikiwa kwa wingi tu. Serikali ijipange kuekeza katika sekta hii ama kuzipa sekta binafsi nafasi kuwapatia huduma wananchi.
No comments:
Post a Comment