Sunday, June 17, 2012

Karafuu ya Zanzibar, kipusa pekee duniani


Serikali ikijipanga kulipa kipaumbele na kulishughulikia zao hili basi peke lina uwezo wa kutangaza Zanzibar kimataifa. Karafuu ya Zanzibar bado ni pekee kwa umaarufu duniani, pia tunaweza kukifufua kiwanda cha Makonyo ya karafuu kuweza kutengeneza yale mafuta maarufu ya mishipa na kuuzwa kitaifa na kimataifa. 

No comments:

Post a Comment