Zanzibarclub
Friday, June 15, 2012
Kimapunju (Zanzibar red colubus monkey)
Msitu wa Jozani, Unguja ndio maskani haswa ya kima hawa adimu, watalii hutoka nchi mbali mbali kuja kujionea kima hawa ambao ni adimu na wanapatikana msituni hapa tu. Ni kivutio na fahari yetu hiyo inayofaa kutunzwa.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment