Timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Zanzibar (Zanzibar Heroes,) inayaoiwakilisha Zanzibar katika michuano hiyo ya nchi zisizo wanachama wa Soka katika michuano ya kombe la dunia - FIFA, imeanza vyema kwa kuifunga mabao 6-0 timu ya Ratia, kutoka Bara la Ulaya.
Kombe hilo limepewa jina la Viva World Cup. Suala; Ni kwa nini Zanzibar kama nchi huru isiweze kuwa mwanachama kamili wa FIFA, wakati michezo si sehemu ya Muungano?
No comments:
Post a Comment