Monday, June 11, 2012

Timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes)


Kikosi cha timu ya taifa ya Zanzibar kilichorudi kutoka Kurdistan na ushindi wa nafasi ya tatu, tunawapa hongera kwa kutuwakilisha vyema kwa kulitangaza jina na kuipepea vyema bendera ya nchi yetu.


No comments:

Post a Comment