Msimu wa maembe unapowadia Zanzibar huwa ni barka ilioje!, matunda mengine huoza kwa wingi wake. Kama Serikali ama sekta binafsi itajipanga vilivyo basi kiwanda kimoja tu cha kusindika matunda kwa kila kisiwa kinaweza kuleta tija na hifadhi ya mazao haya yasiharibike.
Kiwanda hicho hicho kinaweza kuwa na kazi tofauti (multi purpose) kuweza kuzalisha juice ya maembe, machungwa, mananasi n.k kwa biashara ya ndani na nje ya nchi.
No comments:
Post a Comment