Wednesday, July 04, 2012

Tuhamasishe utalii wa ngazi ya juu (first class tourism)


Utalii ndio kiungo muhimu kwa sasa katika kuchangia pato la uchumi wa Zanzibar, kama Serikali itajipanga vyema katika kuitangaza Zanzibar, basi tunaweza kufaidika na utalii wa aina ya watalii wenye fedha na heshima (first class tourism) badala ya watalii vishuka. Pia utalii wa aina hii huchangia kwa kutoa ajira kwa vijana.

No comments:

Post a Comment