Wednesday, May 30, 2012

Je unapajua hapa ni wapi..?


Unapakumbuka Mtemani - Pemba? Je unaliona Jengo la Polisi kwa mbali mwisho wa picha...? Na naam kiashirio chengine ni bahari si unaiona?

1 comment: